Mkuu kimbia chap Ajira potal zipoojinsia: Mwanaume,31.
makazi: Dar es salaam
Uzoefu: miaka mitatu (3)
leseni safi daraja: A A2 B C1 C2 C3 D
Elimu: kidato cha sita (6)
Mafunzo: Advanced drivers grade2-vip, National Institute of Transportation (NIT).
Mengineyo: Nidhamu ya hiari. mchangamfu na mwaminifu.
Zaidi: wadhamini wapo wakihitajika.
mawasiliano: 0626 876 896
Kuna ajira (400) Serikalini omba zimerudiwa,Kuna Ajira (43) za Tanesco omba,kuna za Ewura (4)omba,kuna za TFS-mbeya (2) omba pia.jinsia: Mwanaume,31.
makazi: Dar es salaam
Uzoefu: miaka mitatu (3)
leseni safi daraja: A A2 B C1 C2 C3 D
Elimu: kidato cha sita (6)
Mafunzo: Advanced drivers grade2-vip, National Institute of Transportation (NIT).
Mengineyo: Nidhamu ya hiari. mchangamfu na mwaminifu.
Zaidi: wadhamini wapo wakihitajika.
mawasiliano: 0626 876 896
Kuna ajira (400) Serikalini omba zimerudiwa,Kuna Ajira (43) za Tanesco omba,kuna za Ewura (4)omba,kuna za TFS-mbeya (2) omba pia.
Kila la kheri mKuu.
Zilishapita Deadline Mkuu.Nisaidie link hizo TFS
nina kibint changu kina 23 years nilitaka ukiendeshe ..... lakin kwa umri wako huo mhhhjinsia: Mwanaume,31.
makazi: Dar es salaam
Uzoefu: miaka mitatu (3)
leseni safi daraja: A A2 B C1 C2 C3 D
Elimu: kidato cha sita (6)
Mafunzo: Advanced drivers grade2-vip, National Institute of Transportation (NIT).
Mengineyo: Nidhamu ya hiari. mchangamfu na mwaminifu.
Zaidi: wadhamini wapo wakihitajika.
mawasiliano: 0626 876 896
Unaogopa kugongewa boss.nina kibint changu kina 23 years nilitaka ukiendeshe ..... lakin kwa umri wako huo mhhh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nina kibint changu kina 23 years nilitaka ukiendeshe ..... lakin kwa umri wako huo mhhh
Binti wa miaka 23 unatakiwa umpe gari aendeshe mwenyewe au ana ulemavu?nina kibint changu kina 23 years nilitaka ukiendeshe ..... lakin kwa umri wako huo mhhh
Mbona unakimbiza ridhiki mkuu? Ukisoma huo wasifu utagundua huyo dereva ni "professional", anayeweza kufanya kazi na mtu yeyote katika mazingira tofauti cha msingi ni weledi. Ondoa shaka ndugu tufanye kazi.nina kibint changu kina 23 years nilitaka ukiendeshe ..... lakin kwa umri wako huo mhhh
Ajira nimeshapata hapa dsm kwenye kampuni binafsi wadau. Mambo yakibadilika nitarudi hapa kwa msako mwengine.
Thank you.
Nipatie kazi hio mimi ntamuendesha kwa uaminifu mkubwanina kibint changu kina 23 years nilitaka ukiendeshe ..... lakin kwa umri wako huo mhhh