Deo Filiphikunjombe

kitero

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
563
Reaction score
110
Leo kaomba muongozo wa spika kuhusu hela za rada,kasema katika vitabu vya bunge imeandikwa hela za rada.Kasema ili kuweka kumbukumbu nzuri kwa vizazi vya baadae na tanzania haifanyi biashara ya rada ili ieleweke vvizuri kwa vizazi vya baadae ameshauri iandikwe hela ya chenji ya rusha iliyofanya na wafujaji wa hela za uma kati ya serekali ya TZ NA UK.akasema Mh spika naomba muongozo wako kuhusu hili tuiweke katika hali gani nzuri ili ieleweke kwa vizazi vya baadae? kama kawa spika kaitolea nje hoja ile.
 
Tatizo amewahi kabla hata muda wa majadiliano kuanza. Ila alikuwa na point, apunguze munkari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…