Deni lipi linaweza kukufunga?

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Wadau mimi ni mwajiriwa wa Umma na kipindi nipo job nilikopa kwenye taasisi fulani na wakawa wanakata kwenye salary kila mwezi. Kabla sijamaliza nilipata chansi kwenda kusoma na mwajiri akagomea ruhusa. Nilipoondoka akaniondoa payrole, asa hao jamaa kitambo wanasumbua kuhusu deni lao ila mimi nkawaambia wasubiri nimalize ili nirudi payrole niendelee kulipa deni lao.

Juzi wakanitumia account number kuwa ili wanivumilie niweke laki moja then watasubiri. Ila huku nilipo sina mshahara bodi ya mikopo majanga na nilipowaambia hvo wakasema basi watanipeleka mahakamani.

Je hyo kesi inaweza nifunga au ni kukubaliana nikawalipa?
 
wasikutishe hao,mkopo wako una bima,usitume hiyo pesa na hata wakikupigia simu usipokee wao wanajuana na mwajiri huko.
 
sasa kabisa hata mm kama wewe bima ndo kila kitu kwanza nakulaumungeondoka na mshiko wa maana unaposema uweke laki inaonekana ulichukia mkopo mdogo pole!
 

Hakuna kesi hapo kijana. Kumbuka unapokopa frm any financial institution huwa unatakiwa uwe na collateral ili ukisgindwa kulipa wauze hiyo dhamana (collateral) yako.
Lakini mikopo mingi ya waajiriwa huwa dhamana yao ni salary slip au taasisi husika. Hivyo km umeacha kazi and ur salary slip doesn't exist then wao watatakiwa kumbana mwajiri wako km alikudhamini pia bt apart from that hiyo ni hasara kwao (tunaita bad debts).
So hicho wanachokifanya is one of financial institution's strategies of recovering the loans which are at risk of not be repaid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…