Kwenye hilo deni Kuna Kama trillion 30 ambazo ni deni la ndani na zaidi ya trillion 60...Ni Deni la nje.
Deni la ndani linatokea pale Bank kuu kwa niaba ya serikali ina issue treasury bonds/bills kwa public,sasa njia pekee unayoweza kuitumia kuisaidia serikali ni kununua hizo hatifungani(bonds) ambazo kwa Sasa rate yake iko juu ili kuvuta wawekezaji zaidi.
Serikali inalazimika kwenda kukopa nje kwenye masharti magumu,kwasababu Soko letu la ndani la mitaji bado dogo haliwezi kukidhi deficit budget ya serikali.
lakini pia serikali inapokopa nje ni mbinu mojawapo ya kudhibiti inflation,in economic point of view"ni bora kukopa kuliko kuprint new money"