Denda limeniponza


Aisee huyo mpenzi wako ni bibi kizee nn 😂😂😂😂😂
 
yaani mkuu mbavu sina. kama umetunga ni hakika una utunzi mzuri.

Big up mkuuu
 
Hahahahaha,! yani nimecheka mpaka nimepaliwa!, haya bhana,
 
Metakelfin hizoo kunywa majuisi juisi na maji mengi,akili zitarudi sawa ndugu.
 

Hahahaha Dah ilishawahi kunitokea hali hiyo
 
hahaaa. angekua natural usingempenda. tatizo lenu mnapenda atificial huku mnajifany mnataka natural
 
Kaaa huu ni oungo ulikithiri, sidhani kama hii story ni ya ukweli?
 
he he he nimecheka nahisi mpaka waliolala wameamka....hiyo ya wigi ilishawahi kunitokea enzi za long,halafu kichwa sijui alinyoa na mkasi butu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…