Denda limeniponza

Bado makuku atakutana na samaki mtu@Don
 
Ilishaletwaga kituko kama hii hapa hapa!
Inajirudia rudia tu!

Hakuna jipya hapa!
 
.....enzi zetu tunakua (miaka ya 70)mambo ya denda hayakuwepogi. kwahiyo sikoment chochote...
 

I"m dead.
 
sio story jamani,yamentokea kweli wakuu

Sawa The Don hakuna aliyekataa ila ongeza ubunifu kidogo, maana na hata yule mwenzio HIGH SCHOOL alishindwa hata kupokea simu ya demu wake na hakujua demu wake alifanywa nini na wahuni
 
Last edited by a moderator:
ndoto zako ndo unatuhadithia!

alafu muda ulioandika hii sred ni muda wa kuota ndoto za mazombi!
 
Labda aliwahi pata ajali huko nyuma, huwezi jua
 

Hahahahahah, jf ina vituko aisee
 
mmh na wewe ulikua unakula denda kama mapeazi umetisha mjomba, nijuavyo mimi denda watu hunyonya tena si kunyonya hivi hivi nikunyonya kwa hisia
 
Kaka ulikula denda na kachumbari au?@The Don
 
Hata kama imekutokea kweli umeshindwa kuiandaa vizuri,huyo mtoto ulivyomsifia na hivyo vituko ulivyovielezea havimake sense
 
Ha ha ha ha ha haaa.hyo kali..never heard before
 
hii ni kweli ilitokea,sitosahau
 
Tobaa kwani shule hazijafunguliwa waende shule
 

Aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…