hilo ni tatizo dogo sana. nipe namba yake solution itapatikana muda si mrefu na nitakupa jibu kama unatakiwa kumsaheme uendelee naye au umpotezee. ni pm namba yake mzee, tafadhali.nilikuwa na dem wngu tumekaa kwnye uhusiano takriba miaka 3 hla alibadilka ghafla nakuniambia hanitak hila cku za karbu ameanza kutuma sms. za kimahaba nahic anatka kurud je nifanyejee?
na ndiyo maana nikamwambia aje kwangu mimi ni kewewe ni me au ke?
nilikuwa na dem wngu tumekaa kwnye uhusiano takriba miaka 3 hla alibadilka ghafla nakuniambia hanitak hila cku za karbu ameanza kutuma sms. za kimahaba nahic anatka kurud je nifanyejee?
nilikuwa na dem wngu tumekaa kwnye uhusiano takriba miaka 3 hla alibadilka ghafla nakuniambia hanitak hila cku za karbu ameanza kutuma sms. za kimahaba nahic anatka kurud je nifanyejee?
Umesomeka kamanda!!!!!!!!!!!!!!!!!!Urafiki gani wa miaka 3 bila malengo unamgegeda mtoto wa watu haumwelezi hatma ya mahusiano yenu ukiachwa unalalamika. Miaka 3 si hata mtoto ameshakuwa mkubwa. Huyo binti anatafuta mume sasa muda unaenda haueleweki. Ila kwasabu ya nyege na upweke anataka umpashe kidogo. Wala ukute hana mtu ni wasiwasi wako tu hujiamini. Alikuacha kama kukupa ishara kwamba vipi mbona muda unaenda haueleweki? So usiwaze mengine. Kwahiyo hilo siyo la kuomba ushauri jiongeze mwenyewe. Hivi vijana mnatumia ujana hivyo uzee wenu utakuwaje? Mnaendekeza sana udemu na uboyfriend for more than 3 years na bado si uchumba, mtajenga maisha lini nyie? Wengine mtasema hamna hela unaogopa kuoa hebu piga hesabu kwa mwezi unalipa bei gani gesti kukutana naye au hata kama anakuja geto kila akija unampa posho kiasi gani na mkitoka out mnakula kiasi gani? Bado club na starehe zingine. Hizo gharama ukiwa kwenye ndoa unaishi vizuri na mkeo na mtoto mnakuza wakati mnatafuta maisha. Pole kama nimekuzidishia dozi ila imeze tu usikasirike.
nilikuwa na dem wngu tumekaa kwnye uhusiano takriba miaka 3 hla alibadilka ghafla nakuniambia hanitak hila cku za karbu ameanza kutuma sms. za kimahaba nahic anatka kurud je nifanyejee?