Nakuchukia sana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 487
- 936
Hivi umesema ni shimo au TOBO πSiyo wewe uliye tuletea uzi humu, ukijisifu na kujinadi kuwa hauko interested na wanawake, ukidai wanaume weupe ndo mko hivyo.!!!!
Kuna shimo katika mwili wako haliko sawa wewe.
Shimo kabisa.Hivi umesema ni shimo au TOBO π
Muache karma itamtafuna tuNimetokwa na machoz, nkikumbuka venye dem huyu nlivyojitoa kwake.
kwel n machungu na nimeumia sana,nlijinyima iliapate,ila amesema hanitak mm sio ya type yake,saiv yupo na mjuba mwenye mapen ten tajir
ila mm wacha niendelee kula miayo,maan maj yakimwagika haizolek.ila ni cha jifunza somo,wacha nikamat charles kitwanga