Suruali za kibongo mshonaji anabana kitambaa ili aponee hapo...kwa mwendo huo wa NYAKUA si sehemu nyeti zote zitakuwa hadharani baada ya suruwale kutatuka hadi makalioni!