Dell Laptop N5010

Plan Radeem King

Senior Member
Joined
Mar 25, 2018
Posts
198
Reaction score
127
Imezima ghafla, nimeifungua nimekutana na kitu cha namna hiyo wakuu
Je, hiyo device inapatikana kwa model hiyo?

Natanguliza Shukurani




Sent from my Redmi Note 6 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi kuipata hiyo ktu sio rahs mayb upate pc kama hyo umekufa watoe kama skosei hiyo ni IC nenda kwa mafund wakabumbe au wakuaguzie maana kukiwekaa hata fund sim anaweza shda kukipataa kama ndo hcho kimekufaa ...infact upo wap nipige udalali
 
Hiyo iliyolipuka ni I/O au input output sio tu IC ya kawaida bali pia ni memory ipo na program ndani yake kuibadilisha ni lazima upate mpya na pia uweke program ya hiyo dell model hiyo hiyo au wanaita firmware kwa lugha ya kwao ndio inahusika na mambo ya kuwaka hiyo computer pamoja na kuchaji na keyboard inaanza hapo ndipo inaenda kwenye bios alafu mashine inakua on inapost
 
Duuh!! Boss maelezo yako means nime fail kabisa kuiamsha hii mashine

Sent from my Redmi Note 6 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi kuipata hiyo ktu sio rahs mayb upate pc kama hyo umekufa watoe kama skosei hiyo ni IC nenda kwa mafund wakabumbe au wakuaguzie maana kukiwekaa hata fund sim anaweza shda kukipataa kama ndo hcho kimekufaa ...infact upo wap nipige udalali
Itabidi tu niuze parts

Sent from my Redmi Note 6 Pro using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…