Delivery report kutoonekana katika samsung note 9

both teams to score-YES

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2022
Posts
988
Reaction score
1,881
Wakuu msaada pls..Nataka nikituma text nione Delivery report..ila nimejarb kucheki paKuiset..wala hawajaweka kabisa.
Natumia samsung galaxy note 9
 
Sio hiyo tu boss,pia s9,10 na 20 zote korea version hazina hiyo kitu
 
korea version
Vietnam version
sahau kuhusu hilo
Uongo nao dhambi , kama hujui uliza sms ikifika kwa samsung hizo kwenye sms detailz itaandika sms sent, ikiwa imefel hubaki na kialama cha duara flan hivi kuashiria haijaenda .
 
Uongo nao dhambi , kama hujui uliza sms ikifika kwa samsung hizo kwenye sms detailz itaandika sms sent, ikiwa imefel hubaki na kialama cha duara flan hivi kuashiria haijaenda .
jifunze zaidi usijifanye unajua wakati hujui kitu
kwa kuwa unajifanya unajua lkn mm najua haujui nakuacha hvyohvyo usijue na UJINGA WAKO
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…