DED Mbinga atuhumiwa kutapeli

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
400
Reaction score
472
Wadau,

Jana Mahakama ya Kisutu Dsm,ilitoa hukumu kwenye kesi ya madai ambapo Mkurugenzi Wa hamlshauri ya Mbinga aitwaye Gombo akituhumiwa kuwatapeli wananchi Wa Kigamboni zaidi ya mil 160 za viwanja ambazo alilipwa ili awalipe baada ya kupimiwa viwanja huko.

Mkurugenzi huyu ambaye hana ushirikiano na wana habari anapoulizwa kuhusu ukweli huu,amekuwa akitaka kuwanyamazisha wakazi hao Kwa maneno ya kuwa yeye sasa ni Mkubwa serikalini.

Ombi: tusisahau kuwa,cheo ni dhamana,ukinyang'anywa utarudia maisha ya kawaida tu.
 
Kama ni kweli subiri mentor wake soon atamfanyia anachowafanyiaga
 
Eti mkubwa serikalini..umenikumbusha Kahondo wa Nkasi aluye pigwa pini na jafo two weeks ago! najua yumo humu..!
 
Hao wanajulikana kama wakurugenzi wa mwendo kasi hawana ethics kabisa wanapenda kuabudiwa kama miungu watu
 

Weka uthibitisho na sio kutuletea maneno ya fb hapa kwa kutaka kuchafua watu, unaonekana kabisa una habari za kuokoteza zisizo na mashiko kwani hujulikani lipi umeegemea?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…