MR MD BONIFACE
Member
- Oct 25, 2017
- 34
- 32
Wanawake wa dar lazima wakomolewe......ni kununua kilo za kutosha zikae kwenye mafreezersPweza kilo 9000, bei chee wanawake wa dar watakoma
Pweza ule ww wanawake watakomaje sasa hapo mkuu?Pweza kilo 9000, bei chee wanawake wa dar watakoma
Mbona kuna sehem wanauzwa kilo 5,000 tena fresh from oceanPweza kilo 9000, bei chee wanawake wa dar watakoma
duh wapi huko, mi kuna sehemu nliwakuta kadogo tu kama robo elf kumiMbona kuna sehem wanauzwa kilo 5,000 tena fresh from ocean
Wa mkoani huwezi elewa hii tehPweza ule ww wanawake watakomaje sasa hapo mkuu?
Nimesikia unataka kumvisha pete ya uchumba Miss Natafuta baada ya kumtaliki madam B.Pweza kilo 9000, bei chee wanawake wa dar watakoma
Lohhhh si kwa kushu2liwa huku mwehhh! Mie wa dar tena wa sinzaaaaa!Wa mkoani huwezi elewa hii teh
Hata dada, ma ako navalisha tu kwanshngapiNimesikia unataka kumvisha pete ya uchumba Miss Natafuta baada ya kumtaliki madam B.
Ha ha ha wa sinza kabisa afu usijue mambo ya pweza, haya banaLohhhh si kwa kushu2liwa huku mwehhh! Mie wa dar tena wa sinzaaaaa!
pana wa TZ hawanaga kazi jamani hata sikujibu lolote"kilo ninanuza 9000tsh per kg"
wauza pweza hawakuwahi kusoma leo nakushuhudia wewe Mr MD(mental disordered) BONIFACE
Mama angu mwenyewe jikedume kama wewe..!Ha ha ha wa sinza kabisa afu usijue mambo ya pweza, haya bana
Punguza bei aisee,Nina mzigo wa pweza nina leta dar es salaam toka msumbuji
Kilo ninauza 9000tsh per kg
+255676019019 WhatsApp
+255764845585
Asante sana
nita kupiga soonPunguza bei aisee,
Kuna jamaa 0654 588 889 last year alikua akiniletea mpaka Home kwa only 7,000/= kwa kilo
Unataka kilo ngapiUngeweka picha ingependeza zaidi bro.
Bila kuwaona hao Pweza wa MsumbijiUnataka kilo ngapi