Madame bbade majuzi nmekukumbuka ,ulipotelea wapAcha nipite tu
Zakupoteana mbaya tu sababu nilimis kuona andiko lako !!!Nipo VP, hujanitafuta tu.
Za kupoteana? Kwema lakini?
Nashukuru kusikia hivyo.Zakupoteana mbaya tu sababu nilimis kuona andiko lako !!!
Yah kwema sana ,kheri ya mwaka mpya ingawa nmekua Wa mwisho ila wamwisho ndo anakuaga mshindi![emoji6]
Sasa ningekutafuta ningekupata wapi? Usikute ulimezwa chatu [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa kwa kupotea huko kwann nisiseme ulimezwa nachatu??.Nashukuru kusikia hivyo.
Asante sana kwa kunikumbuka. [emoji5]
Wala hujawa wa mwisho. ..ndio Kwanza naipokea ya Kwanza leo. Na kwako pia VP.[emoji109]
Huyo chatu ungemfanyia maarifa kujua kama alinimeza mimi au lah.[emoji6]
Nina komwe balaa. ...Acha niendelee kujisitiri.[emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa kwa kupotea huko kwann nisiseme ulimezwa nachatu??.
Je wajua JF imenipa Tuzo ya Mchekeshaji/Mfurahishaji Wa Mwezi ulopita??...kama ujui ndo ujue ulimezwa na Chatu mtu !!.
Kwangu mwaka mpya uko Poa mno nashukuru mbingu na Ardhi !!.
Lini utavua iyo kofia kwa Avatar?.
Hahahahaha kumbe ndo siri yako??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana ila naweza kukuchonga kikawa poa[emoji6] ila sharti ulipie !!.Nina komwe balaa. ...Acha niendelee kujisitiri.
Najaribu kucheka siwezi, walikosea kukupa tunzo.
Nitumie Brochure nione Service nyingine unazo toa.Hahahahaha kumbe ndo siri yako??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana ila naweza kukuchonga kikawa poa[emoji6] ila sharti ulipie !!.
Roho mbaya tu ,kwaiyo unaona wamenipendelea iyo tuzo?? IPI nayostahili sasa
Hahahaha My Brochure?? Hapa wazi i f you really want to know ,then you should let me know ili nikuPM[emoji23] [emoji23] hapa ni product with quality.Nitumie Brochure nione Service nyingine unazo toa.
"The Lovie Awards" ingekutendea haki.
Nikihitaji Service nitakutafuta.Hahahaha My Brochure?? Hapa wazi i f you really want to know ,then you should let me know ili nikuPM[emoji23] [emoji23] hapa ni product with quality.
Iyo award kwa Hisani yako Madame!!.
You are welcome B , Not only a service , huduma bora zaidi !!.Nikihitaji Service nitakutafuta.
Hii Award iko kwa Hisani ya Google na JF.
Ipokee tu.
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]You are welcome B , Not only a service , huduma bora zaidi !!.
Hahahaha kama basi ni kwa hisan ya Google , JF kwa ushirikiano wako wewe mpiga kura[emoji23]
Naipokeaaa .
[emoji120][emoji122] [emoji122] nasikiaga Tuzo zinaongozana na Mpunga (Pesa ) ,,, imekaaje hiii[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
I can smell OPPORTUNIST !!!![emoji120][emoji122] [emoji122] nasikiaga Tuzo zinaongozana na Mpunga (Pesa ) ,,, imekaaje hiii
Hahahaha Mshindi nilazima awe mtumiaji mzur Wa kila Fursa!!.I can smell OPPORTUNIST !!!!