Huyu mwamba tangu atoe ile maisha na muziki na ngoma ikaenda viral basi hajawahi kuwa na uwiano mzuri
Ni msanii mzuri mwenye talanta ila sijajua kwanini ameamua kuonesha wasiwasi kwenye ubunifu
Asilimia kubwa ya ngoma zote zilizofata baada ya maisha na muziki zilikuwa katika style ile ile