Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime ametoa wito kwa Watanzania wote kutokutoa nafasi kwa watu wanaohamasisha uhalifu, migogoro au vurugu. Ametoa rai ya kutumia njia bora kama maridhiano, mazungumzo na uvumilivu katika kutatua tofauti.
Message sent, tutawaua ma nyieMsemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime ametoa wito kwa Watanzania wote kutokutoa nafasi kwa watu wanaohamasisha uhalifu, migogoro au vurugu. Ametoa rai ya kutumia njia bora kama maridhiano, mazungumzo na uvumilivu katika kutatua tofauti.
David Misime kama umo humu JF ukae chini na wenzako muongee na muwe realistic, anzeni na chanzo cha yote haya ambacho ni utekaji na uuaji wa raia unaofanywa na Mafwele and his crew. Ili kueleweka kwa raia hilo lazima mli-address kwa namna yoyote alimradi mueleweke kwa wananchi, mtu anatekwa na kunakuwa na public outcry mnashindwa kuongelea hata kwa kuzuga? Kuongelea jambo publicly it’s a step towards dialogue.Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime ametoa wito kwa Watanzania wote kutokutoa nafasi kwa watu wanaohamasisha uhalifu, migogoro au vurugu. Ametoa rai ya kutumia njia bora kama maridhiano, mazungumzo na uvumilivu katika kutatua tofauti.
Huenda siri itavuja,hivyo nitarajie atawataja punde atakapo wakamata.Na wale wanaofanya Uhalifu je mbona hawazungumzii ..........!!?
Mbona hawazungumzii akina Mafwele ambao Victims wamemuidentify....!!?
Wataje wanaohamasisha vurugu ongeza na wale watekaji wauaji watesajiWanao hamasisha na kuchochea vurugu ni watu wawili tu na Kila mtu anawafahamu
Kiini Cha shida zote Hizi kipo msoga Maza yeye ana anatekeleza tu... Wakitolewa Hizo Kinga na kawajibishwa Hawa wengine wote hawasumbuiWataje wanaohamasisha vurugu ongeza na wale watekaji wauaji watesaji
Siku zao zinahesabikaKiini Cha shida zote Hizi kipo msoga Maza yeye ana anatekeleza tu... Wakitolewa Hizo Kinga na kawajibishwa Hawa wengine wote hawasumbui