DC Urambo afariki dunia

pole wasifiwa amefariki kwa tatizo gani
 
DC ni kada wa CCM according to Pinda... Kwa hiyo NIMEFURAHI SANA kwa huyu gamba kufa, it is a good news.
 
Wacha magamba yafe, kwani ndio wanaotusababishia maisha magumu kwa tamaa zao za matumbo yao.
 
DC ni kada wa CCM according to Pinda... Kwa hiyo NIMEFURAHI SANA kwa huyu gamba kufa, it is a good news.

:bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange:
 
naye asibweteke tu, lazima ajipitishepitishe na kutabasamu kwa wakubwa ili wamuone!

hoja siyo kujipitish n tabasam.bali sura anayo, akitabasam ndo kama analia nani amtake? Awapelekee wamasai hy sambusa yke .
 
Wacha magamba yafe, kwani ndio wanaotusababishia maisha magumu kwa tamaa zao za matumbo yao.

Fanya kazi wewe acha kushinda vijiweni. Unataka uletewe hela kijiweni?

Endelea kusubiri. Dr. Slaa akiingia madarakani atakuwekea bill ya maziwa mwezi mzima.
 
hoja siyo kujipitish n tabasam.bali sura anayo, akitabasam ndo kama analia nani amtake? Awapelekee wamasai hy sambusa yke .

Wewe mwenye sura nzuri "sambusa" yako umempelekea nani?
 
DC ni kada wa CCM according to Pinda... Kwa hiyo NIMEFURAHI SANA kwa huyu gamba kufa, it is a good news.

hebu fikiria angekuwa mama yako au dada yako???? ungesema hivi???
 
ingekuwa mbunge wa ccm ingekuwa poa sana.........

chanzo cha kifo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…