DC Kiteto abaini madudu vijijini

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mhandisi Tumain Magesa amesema elimu duni ya wananchi kuhusu uendeshaji wa Serikali vijijini ni chanzo cha matatizo yanayowakabili

Akizungumza na wana-Kijiji cha Njoro katika mkutano wa hadhara leo alisema, baadhi ya viongozi wa vijiji wanekuwa waungu watu na kuendesha Serikali za vijiji watakavyo

Alisema sheria imeelekeza kufanya mkutano Mkuu wa Kijiji kila baada ya miezi mitatu badala yake inakuwa kinyume chake.

Wananchi wameamua kususia maendeleo yao baada ya kuchangia miradi yao bila kusomewa taarifa ya mapato na matumizi alisema.

Alisema ili kuondoa tatizo hilo katika mikutano yake ataendelea kuwa na Polisi na kuagiza kuwashikilia wenyeviti na watendaji wao kwa kutosoma mapato na matumizi.

Kijiji cha Njoro ni miongoni mwa vijiji vinavyobainika kutowasomea wananchi mapato na matumizi na kusababisha miradi ya maendeleo kukwama...
 

Attachments

  • IMG_20181003_143344.jpg
    61.5 KB · Views: 23
  • IMG_20181003_144938.jpg
    49.6 KB · Views: 22
Naona unajipa promo mkuu,

Umekuwa Kama ile I'd inayoletaga habari za Ali Happy tu.
 
...abaini madudu vijijini....tangu nasoma primary, sekondari, chuo shahada ya kwanza na shahada ya pili...matatizo niloyaacha kijijini yameendelea ongezekaaa...tofauti na ata wakati ulee...(wanakijiji wenzangu walikuwa wakitoka na kuchimba/kurekebisha barabara pia mifumo ya maji/ pia kujitolea nguvu kazi ktk shughuli mbali mbali)...shilingi 100 ilikuwa na heshimaaa...changamoto ninayoiona ni namna ya kutafta suluhishooo...lakini isiwe kisiasa..iwe kisirikali zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…