tangu lini dawasco wanajali wateja wao....they dnt care
sisi tukichelewa kulipa bill tu wanakuja kukataa mara moja, ndio mkataba kwa wateja unvyosema? sisi tusipopata maji tuchukue hatua gani? dhidi yao
Sisi huku tabata ni miezi minne sasa tunatumia MAJI ya mvua tuu maana wametususa