DAWASCO maji Dar yatatoka lini!

UPOPO

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
3,697
Reaction score
6,099
Jamani wenye taarifa ya maji kupatikana Dar kwa wakazi wa Tegeta,Mbezi beach Mwenge mpaka Town .Tunaomba kujua jamani kwani hali mbaya sana huku majumbani kwetu hasa sisi akina mama.
 
Pole sana ndugu yangu. Kwa DAWASCO ninayoijua mimi subirini maumivu.
 
Mungu akipenda siku yoyote

Sasa Mungu atapenda lini,Je wenzetu maji mnapata wapi kwani sisi kununua kwenye magari ni issue.Kweli maisha bora kwa kila mtanzania
 
Sisi kwetu hatujawahi kupata maji so tumeshazoea kubeba madumu mpaka tumejazia mikono
 
Vipi Upanga yameanza kutoka?
 
Leo ofisini nimeshindwa kukata gogo nimerudi nalo mapaka home,aisee nina hasira sana na haya magamba yanatutesa mno!!!Upanga haina maji toka ijumaa.
:sad:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…