Ufupi sio ugonjwa ila kama kwako ni ugonjwa tafuta fuso tani 7 mbili, zifunge kamba nyuma kila moja, moja ielekee kushoto nyngine kulia, funga kamba moja shingoni na kamba ya fuso nyingine funga miguuni yote miwili ili usije kurefuka nusunusu, wambie madereva wawashe na waondoke kwa kasi utarefuka.