Dawa za aina 10 zisizo salama kwa mama mjamzito kutumia

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,802
34,193
DAWA ZA KIZUNGU KUJIEPUSHA MWANAMKE MWENYE MIMBA.jpg

DAWA ZA AINA 10 ZISIZO SALAMA KWA MAMA MJA MZITO KUTUMIA

Leo tutaangalia dawa ambazo jamii yetu hupenda sana kuzitumia lakini bahati mbaya baadhi ya dawa hizo hazitakiwi kupewa kwa wajawazito kabisa kulingana na madhara makubwa yanayoambatana na dawa hizo kwa mtoto aliyepo tumboni.
Zifuatazo ni dawa hizo.

1.Albendazole; hii ni dawa ya minyoo ambayo hutumika mara kwa mara kujitibu lakini ni dawa mbaya sana kwa akina mama wajawazito kwani una uwezo wa kutoa mimba kabisa hivyo mebendazole hutumika kama mbadala.

2.Gentamycin: hii ni dawa ambayo iko kwenye mfumo wa sindano tu, mara nyingi hutumika kutibu magonjwa ya mfumo wa mkojo. Dawa hii huharibu kabisa mishipa ya fahamu kitaalamu kama auditory nerve ambayo hutufanya sisi kusikia. Hivyo matumizi ya dawa hii huweza kusababisha mototo kuzaliwa akiwa hasikii yaani kiziwi.

3.Ciproflaxin; hii ni dawa ambayo hupatikana kwenye mfumo wa vidonge na sindano, mara nyingi hutumika kutibu typhoid, UTI au magonjwa ya njia za mkojo na magonjwa baadhi ya zinaa. Dawa hii huharibu ukuuji wa mifupa ya mtoto na huweza kutoa mtoto asiyetembea mwishoni.

4.Doxycline: hii ni dawa ambayo hupatikana kwa mfumo wa dawa za kumeza kitaaalamu kama capsules, dawa hizi ni antibiyotiki yaani hutumika kuua bakteria wa aina tofauti. Bahati mbaya huweza kuingilia mfumo wa utengenezaji wa mtoto ikitumika miezi mitatu ya mwanzo na kusababisha kuzaliwa na motto mwenye viungo pungufu au zaidi.

5.Dawa ya mseto ya malaria au ALU; dawa hii ni salama kipindi chote cha ujauzito isipokua miezi mitatu ya kwanza ambapo dawa hii huweza kuingilia ukuaji wa maumbile ya kwanza ya mtoto[organogenesis} na kutoa motto asiye na viungo vya kawaida.

6.Metronidazole au fragile; hii dawa ipo kwenye kikundi cha antibayotiki yaani hushambulia bakteria. Dawa hii hutumika mara nyingi kuua minyoo ya amiba na kutibu magonjwa ya mfuko wa uzazi wa mwanamke na ikitumika miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito huingilia mfumo wa utengenezaji wa viungo vya mtoto.

7.Mesoprostol: hii ni dawa ambayo iko kwenye kikundi maarufu cha prostanglandins analogue, hutumika sana kuongeza njia ya mlango wa uzazi kipindi cha kujifungua na pia hutumika kutibu madonda ya tumboni hivyo matumizi ya dawa hii kipindi cha ujauzito yana madhara makubwa mno ikiwemo kutoa mimba kabisa.

8.Aspirin: hii ni dawa ya maumivu ambayo humezwa mara kwa mara na hupatikana kirahisi tu, lakini dawa hii ina uwezo wa kusababisha kuvuja kwa damu nyingi hasa mama akipata matatizo flani ya uzazi kama placenta previa. Sio dawa nzuri sana kipindi cha ujauzito.

9.Praziquantel: hii ni dawa inayotumika kutibu minyoo flani inayopatikana kwenye sehemu za maji yaliyotuama, ni hatari sana kwa wamama wajawazito kwani huiingilia mfumo wa ukuaji wa mtoto.

10.Furesamide: hii ni dawa ambayo inapatikana kwenye kikundi cha diuretic.. mara nyingi hutumika kushusha ongezeko la maji nje ya mfumo husika wa damu [oedema] na kutibu presha kubwa ya damu. Sio dawa nzuri kwa akina mama wajawazito kwani wajawazito hua na presha ya chini kidogo hivyo huweza kuishusha chini kabisa[intravascular volume depletion].

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905013460377
 
Me naona mkuu ujipange kuandika tena vitu vyako maana vipo ulivopatia lkin vngne haukuwa sahihi kabisa cha kwanza albendazole inazuiwa kutumika si kwa sababu inatoa mimba bali inaharibu mfumo wa embryology cuz inaongeza embryotoxicity kwahyo inawez kudeformit skeletol effect ya mtoto nakupongeza kwenye gentamycin,doxy na misoprostol kwan umeweza kuelezea kwa uwezo wako ulionao ila tukianza na dawa ya mseto yaani alu ni muunganiko wa dawa mbili (ndio maana ikaitwa mseto) artemether na lumefantrine artemether ni dawa inayotokana au ni dawa iliyopo kwenye group la madawa yenye artemisin yakiwemo artesunate inj.,artemether inj na zngne artemether ni dawa nzuri na imefanyiwa majaribio kutumika kwa mtu yyte ila lumefantrine bado majaribio yake hayajawa tayar kwani bado ipo kwenye majaribio na kama ipo kwenye majaribio sio vzuri kuitumia katika unborn child kumbuka dawa nyeza na artemether ndo iliyopo kwenye majaribio pili fragile au metronidazole ipo kwenye group moja la dawa linaloitwa anaerobs au ant-aerobs wala sio antibiotics kama ulivosema na kingne praziquantel hutibu kichocho na sio minyoo kama ulivosema asprin haina shida yyte kwa mama mjamzito kma tu hana historia ya vidonda vya tumbo(kama ana vidonda vya tumbe inaweza kumsabaabishia gastric bleeding) kingne sio mama wajawazito wote wenye presha ilio chini nafikiri ungeenda ukasome zaidi P. I. H yaani pregnancy induced hypertension uelewe....kingne cha kukuongezea mama mjamzito akija hospitalini akiwa na anaemia dawa ya kwanza kumpa kabla ya kumuongeza damu kama ana oedema na signs za heart failure dawa ya kwanza kupewa ni FUROSEMIDE ili kuondoa extracellular fluid kama ulivosema labda nikuongezee tu kwamba mama mjamzito apewi furosemide akiwa hna presha kubwa na akiwa hayuko peri term kwa sababu itapelekea kupunguza amniotic fluid yaani maji ya uzazi ya mtoto na kusababisha kitu kinachoitwa oligoamnious
ASANTE SANA JIFUNZE, ZAIDI KABLA YA KULETA MADA KWA WATU WAZIMA0
Unaonaje na wewe ukanzisha Thread yako na mimi nije kukupongeza? Sio kukulaumu hatuko hapa kulaumiana tupo hapa kuelimishana usinilaumu wewe sema kwa elimu yako na mimi ninasema kwa elimu yangu.

Acha kulaumu laumu kusiko kuwa na maana ukitaka mambo ya kulaumu laumu kuna majukwaa Maalumu ya kulaumu kama vile Majukwaa ya Siasa majukwaa ya michezo nenda kule ukalaumu mambo ya Mpira au viongozi wa Siasa.

Kwenye hili Jukwa letu la Afya hakuna mambo ya kulaumiana hapa ni mahali pa kuelimishana kama huna kitu cha kuandika au kitu cha kuchangia Thread yangu, bora ungesoma kisha ukapuuza Post yangu ingelikuwa ni jambo bora kuliko kulaumu kusiko kuwa na maana yoyote ile.Samahani kama nimekukwaza.

Tupe elimu yako Mkuu na tuelimishe sisi wengine hatujuwi kitu.
 
Me naona mkuu ujipange kuandika tena vitu vyako maana vipo ulivopatia lkin vngne haukuwa sahihi kabisa cha kwanza albendazole inazuiwa kutumika si kwa sababu inatoa mimba bali inaharibu mfumo wa embryology cuz inaongeza embryotoxicity kwahyo inawez kudeformit skeletol effect ya mtoto nakupongeza kwenye gentamycin,doxy na misoprostol kwan umeweza kuelezea kwa uwezo wako ulionao ila tukianza na dawa ya mseto yaani alu ni muunganiko wa dawa mbili (ndio maana ikaitwa mseto) artemether na lumefantrine artemether ni dawa inayotokana au ni dawa iliyopo kwenye group la madawa yenye artemisin yakiwemo artesunate inj.,artemether inj na zngne artemether ni dawa nzuri na imefanyiwa majaribio kutumika kwa mtu yyte ila lumefantrine bado majaribio yake hayajawa tayar kwani bado ipo kwenye majaribio na kama ipo kwenye majaribio sio vzuri kuitumia katika unborn child kumbuka dawa nyeza na artemether ndo iliyopo kwenye majaribio pili fragile au metronidazole ipo kwenye group moja la dawa linaloitwa anaerobs au ant-aerobs wala sio antibiotics kama ulivosema na kingne praziquantel hutibu kichocho na sio minyoo kama ulivosema asprin haina shida yyte kwa mama mjamzito kma tu hana historia ya vidonda vya tumbo(kama ana vidonda vya tumbe inaweza kumsabaabishia gastric bleeding) kingne sio mama wajawazito wote wenye presha ilio chini nafikiri ungeenda ukasome zaidi P. I. H yaani pregnancy induced hypertension uelewe....kingne cha kukuongezea mama mjamzito akija hospitalini akiwa na anaemia dawa ya kwanza kumpa kabla ya kumuongeza damu kama ana oedema na signs za heart failure dawa ya kwanza kupewa ni FUROSEMIDE ili kuondoa extracellular fluid kama ulivosema labda nikuongezee tu kwamba mama mjamzito apewi furosemide akiwa hna presha kubwa na akiwa hayuko peri term kwa sababu itapelekea kupunguza amniotic fluid yaani maji ya uzazi ya mtoto na kusababisha kitu kinachoitwa oligoamnious
ASANTE SANA JIFUNZE, ZAIDI KABLA YA KULETA MADA KWA WATU WAZIMA0
Sidhani kama kuna mashindano hapa kama ww uliona kuna mapungufu sehem ungejazia au kurekebisha ila sio kukosoa na kutaka kujionyesha km ww unajua zaidi
 
Unaonaje na wewe ukanzisha Thread yako na mimi nije kukupongeza? Sio kukulaumu hatuko hapa kulaumiana tupo hapa kuelimishana usinilaumu wewe sema kwa elimu yako na mimi ninasema kwa elimu yangu. Acha kulaumu laumu kusiko kuwa na maana ukitaka mambo ya kulaumu laumu kuna majukwaa Maalumu ya kulaumu kama vile Majukwaa ya Siasa majukwaa ya michezo nenda kule ukalaumu mambo ya Mpira au viongozi wa Siasa. Kwenye hili Jukwa letu la Afya hakuna mambo ya kulaumiana hapa ni mahali pa kuelimishana kama huna kitu cha kuandika au kitu cha kuchangia Thread yangu, bora ungesoma kisha ukapuuza Post yangu ingelikuwa ni jambo bora kuliko kulaumu kusiko kuwa na maana yoyote ile.Samahani kama nimekukwaza. Tupe elimu yako Mkuu na tuelimishe sisi wengine hatujuwi kitu.
Mkuu huyu jamaa hajalalamika lakini amejaribu kurekebisha pale ulipokosea. Hii ndiyo desturi ya healthcare providers. Huelimishana pale ambapo mwenzako either kakosea au hajui. Kwa misingi hiyo isingekuwa heri akae kimya ili watu wa claim tu kile ulichoandika hata kama kiko wrong. Bnafsi namuunga mkono.
 
Sidhani kama kuna mashindano hapa kama ww uliona kuna mapungufu sehem ungejazia au kurekebisha ila sio kukosoa na kutaka kujionyesha km ww unajua zaidi
Mkuu inaonekana kile unachoandika wewe unataka kisikosolewe hata kidogo.
Anyway. Lengo ni Moja hapa ni kuhakikisha client/patient anapata kile kinachotakiwa ili Ku achieve therapeutical goals.
 
View attachment 474260
DAWA ZA AINA 10 ZISIZO SALAMA KWA MAMA MJA MZITO KUTUMIA

Leo tutaangalia dawa ambazo jamii yetu hupenda sana kuzitumia lakini bahati mbaya baadhi ya dawa hizo hazitakiwi kupewa kwa wajawazito kabisa kulingana na madhara makubwa yanayoambatana na dawa hizo kwa mtoto aliyepo tumboni.
Zifuatazo ni dawa hizo.

1.Albendazole; hii ni dawa ya minyoo ambayo hutumika mara kwa mara kujitibu lakini ni dawa mbaya sana kwa akina mama wajawazito kwani una uwezo wa kutoa mimba kabisa hivyo mebendazole hutumika kama mbadala.

2.Gentamycin: hii ni dawa ambayo iko kwenye mfumo wa sindano tu, mara nyingi hutumika kutibu magonjwa ya mfumo wa mkojo. Dawa hii huharibu kabisa mishipa ya fahamu kitaalamu kama auditory nerve ambayo hutufanya sisi kusikia. Hivyo matumizi ya dawa hii huweza kusababisha mototo kuzaliwa akiwa hasikii yaani kiziwi.

3.Ciproflaxin; hii ni dawa ambayo hupatikana kwenye mfumo wa vidonge na sindano, mara nyingi hutumika kutibu typhoid, UTI au magonjwa ya njia za mkojo na magonjwa baadhi ya zinaa. Dawa hii huharibu ukuuji wa mifupa ya mtoto na huweza kutoa mtoto asiyetembea mwishoni.
Tibazetu.blogspot.com

4.Doxycline: hii ni dawa ambayo hupatikana kwa mfumo wa dawa za kumeza kitaaalamu kama capsules, dawa hizi ni antibiyotiki yaani hutumika kuua bakteria wa aina tofauti. Bahati mbaya huweza kuingilia mfumo wa utengenezaji wa mtoto ikitumika miezi mitatu ya mwanzo na kusababisha kuzaliwa na motto mwenye viungo pungufu au zaidi.

5.Dawa ya mseto ya malaria au ALU; dawa hii ni salama kipindi chote cha ujauzito isipokua miezi mitatu ya kwanza ambapo dawa hii huweza kuingilia ukuaji wa maumbile ya kwanza ya mtoto[organogenesis} na kutoa motto asiye na viungo vya kawaida.

6.Metronidazole au fragile; hii dawa ipo kwenye kikundi cha antibayotiki yaani hushambulia bakteria. Dawa hii hutumika mara nyingi kuua minyoo ya amiba na kutibu magonjwa ya mfuko wa uzazi wa mwanamke na ikitumika miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito huingilia mfumo wa utengenezaji wa viungo vya mtoto.

7.Mesoprostol: hii ni dawa ambayo iko kwenye kikundi maarufu cha prostanglandins analogue, hutumika sana kuongeza njia ya mlango wa uzazi kipindi cha kujifungua na pia hutumika kutibu madonda ya tumboni hivyo matumizi ya dawa hii kipindi cha ujauzito yana madhara makubwa mno ikiwemo kutoa mimba kabisa.

8.Aspirin: hii ni dawa ya maumivu ambayo humezwa mara kwa mara na hupatikana kirahisi tu, lakini dawa hii ina uwezo wa kusababisha kuvuja kwa damu nyingi hasa mama akipata matatizo flani ya uzazi kama placenta previa. Sio dawa nzuri sana kipindi cha ujauzito.

9.Praziquantel: hii ni dawa inayotumika kutibu minyoo flani inayopatikana kwenye sehemu za maji yaliyotuama, ni hatari sana kwa wamama wajawazito kwani huiingilia mfumo wa ukuaji wa mtoto.

10.Furesamide: hii ni dawa ambayo inapatikana kwenye kikundi cha diuretic.. mara nyingi hutumika kushusha ongezeko la maji nje ya mfumo husika wa damu [oedema] na kutibu presha kubwa ya damu. Sio dawa nzuri kwa akina mama wajawazito kwani wajawazito hua na presha ya chini kidogo hivyo huweza kuishusha chini kabisa[intravascular volume depletion].

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Ni Dr. Kweli au ndo bado hujafuata maelekezo ya Dr.Kigwa?

Kama ni Dr kweli basi fine.
kiasi kikubwa maelezo yako yako vizuri ila kwa mtu aliyesoma anaweza kukurekebisha kidogo ila kwa kundi ulilolilenga umejitahidi kuwapa tahadhari nzuri.

Kifupi umejitahidi sana.Ila kwa mtaalamu wa tiba Metronidazole wanaziita ni anti protozoa antibacterials na ziko effective against protozoans parasites with exception of Malaria causing fever parasites na ziko effective against wide range of anaerobic microorganisms.

Aspirin pia umeielezea vizuri kulingana na kundi ulilolilenga la watu Wenye elimu ya kawaida.Ni dawa zenye maelezo mengi kiasi.Nikipata muda nitapita tena najaribu kujaziliza baadhi ya vitu.

Wanaokupinga kwa nguvu huenda pia ni wataalamu lakini hawajaangalia wewe umelenga mtu wa kawaida kabisa wala sio medical personal kama wao.
Big up mdau umetoa angalisho zuri sana.
 
Mkuu huyu jamaa hajalalamika lakini amejaribu kurekebisha pale ulipokosea. Hii ndiyo desturi ya healthcare providers. Huelimishana pale ambapo mwenzako either kakosea au hajui. Kwa misingi hiyo isingekuwa heri akae kimya ili watu wa claim tu kile ulichoandika hata kama kiko wrong. Bnafsi namuunga mkono.
Hajamjibu kistaarabu.

Heri angetililika in a sequence manner, kaingia si kiungwana..hebu soma taratibu jinsi alivyojibu.Utaona kuna vitu anavijuua hataki kuvisema ila anashambulia ambavyo Mzizi Mkavu kishavisema.

Kama lengo ni kuelimisha apitie kila kimoja kwa mtiririko na kisha useme hapa ni hivi na hapa si hivi watu tutakuelewa.

Tayari yeye kisha conclude "kajipange ndo uje uaadike vizuri" that is not fair.
Mzizi Mkavu hongera kaka ntapita tena nikipata muda niongezee nyama kiasi.
 
Hajamjibu kistaarabu.Heri angetililika in a sequence manner, kaingia si kiungwana..hebu soma taratibu jinsi alivyojibu.Utaona kuna vitu anavijuua hataki kuvisema ila anashambulia ambavyo Mzizi Mkavu kishavisema.Kama lengo ni kuelimisha apitie kila kimoja kwa mtiririko na kisha useme hapa ni hivi na hapa si hivi watu tutakuelewa.Tayari yeye kisha conclude "kajipange ndo uje uaadike vizuri" that is not fair.

Nakubaliana ww mkuu. Alivo conclude kiukweli hakumtendea haki ingawa kaanza vizuri. Bnafsi nampongeza kwa jinsi alivyojitahidi kuwasilisha mawazo yake.
 
Hajamjibu kistaarabu.Heri angetililika in a sequence manner, kaingia si kiungwana..hebu soma taratibu jinsi alivyojibu.Utaona kuna vitu anavijuua hataki kuvisema ila anashambulia ambavyo Mzizi Mkavu kishavisema.Kama lengo ni kuelimisha apitie kila kimoja kwa mtiririko na kisha useme hapa ni hivi na hapa si hivi watu tutakuelewa.Tayari yeye kisha conclude "kajipange ndo uje uaadike vizuri" that is not fair.
Mzizi Mkavu hongera kaka ntapita tena nikipata muda niongezee nyama kiasi.
Kanijibu kihuni utafilkiri alishapata moja baridi moja moto angenielimsha sio kunikosoa mimi nimesema Dawa Madhara yake sijasema faida zake ingawa dawa nyingi za Hospitali hazina faida kuliko madharazina kutibu maradhi yako na kukuletea madhara kwa maradhi mengine.

''THE PHARMACEUTICAL INDUSTRY DOES NOT CREATE CURES THEY CREATE CUSTOMERS''

Big Pharma’s Strategy to Create Customers Not Cures.png

CANCER.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom