Wana Jf msaada wenu tafadhali.Kuna jirani yangu anasumbuliwa na vipele vinavyoota nyuma ya kiwiko cha mkono. na wakati mwingine anasema vinaota kwenye magoti. na vinamaumivu sana. ni kama vijipu vidogo lakini havina usaha ni vigumu. msaada jamani
Nimekuwa nikisumbuliwa na vijipu vidogovidogo (nadhani vinaitwa boils) vinavyoota kwenye kiwiko cha mkono. Vinapona na kutokea vingine, vidogo vidogo lakini vinauma sana.