Mkuu sina utani na afya za watu,natoa hiyo dawa ya miti bure kabisa na ndani siku tatu tu utashaangaa.Kumbuka kuwa sifanyi biashara na wala sio mganga wa kienyeji.kwa mateso ya watanzania wenzangu ambao wamekata tamaa na huu ugonjwa basi kuna tumaini jipya ni hiyo dawa na nina aamini watakuwa mashaidi kwa akina tomaso wasio amini.Au nimetibua dili zako mkuu ulikuwa unapiga pesa kupitia huu ugonjwa?usiombe ukaumwa.