Dawa ya mchepuko ni kuichafua tu!

Umeniogopesha aseee.sijui huyo mke wake angekuwepo ingekuwaje
 
Mwanaume wa wapi vileee[emoji124] [emoji124] [emoji124] ndo anaeweza kusimulia hivyo
Tehh..teehhh...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Sitaki ugomvi miee.....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Tehh..teehhh...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Sitaki ugomvi miee.....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haha
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji134]
 
hahahahahah nimecheka kweli jaman
hakika hakuna kufanya ufundi kwa michepuko kwanza ni hatari kwa maisha ya wenye ndoa

teh teh
 
Sasa amemwambia wakutane kwake mkewe hayupo mara kambadilishia gear angani, huyo hakuwa na hela sasa asila za kutokua na hela kazimalizia kwa mchepuko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbaya zaidi ni pale mwanaume kabisa alie kamilika, eti anakuja jf kutusimulia habari ya mchepuko kupigwa.....[emoji15] [emoji15]
Kweli inashangaza sana.....
Huyo n mvulana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…