[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Inashangaza sana mwanaume kusimulia mambo ya kike tena kwa confidence kama yako....
Rudi useme neno tuu[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Inashangaza sana mwanaume kusimulia mambo ya kike tena kwa confidence kama yako....
Mbaya zaidi ni pale mwanaume kabisa alie kamilika, eti anakuja jf kutusimulia habari ya mchepuko kupigwa.....[emoji15] [emoji15]Michepuko mingine akili zao wanazijua wenyewe!!
Ninamashaka na jinsia yako aiseeee.....Nimependa ulivinikosoa inaonesha ni jinsi gan thread imekugusa na ukaisoma mpaka mwisho na ukagundua kuwa aliesimulia ni mwanamme.
Ila jifunze ili kuna mwingine akiisoma atajifunza kitu.ELIMIKA. please acha kupanik haya ndo maisha na siku ndo ishapita hii. Tehh teh
Mwanaume wa wapi vileee[emoji124] [emoji124] [emoji124] ndo anaeweza kusimulia hivyoMbaya zaidi ni pale mwanaume kabisa alie kamilika, eti anakuja jf kutusimulia habari ya mchepuko kupigwa.....[emoji15] [emoji15]
Kweli inashangaza sana.....
Mie nataka hiyo michepuko ipigwe tuuu hamna namna ingine!!!Ndio mkomeeeee
Hivi inakuaje mpaka mchepuko unakufata kwako huko wanakofanya mauchafu yao bado tu mpaka na nyumbaniMie nataka hiyo michepuko ipigwe tuuu hamna namna ingine!!!
Na kwa nini umuonyeshe mchepuko wako unapoishi,ni dharau kubwa mno!!! Michepuko mingine sii ya kuiamini kabisaaHivi inakuaje mpaka mchepuko unakufata kwako huko wanakofanya mauchafu yao bado tu mpaka na nyumbani
Ni zaidi ya dharau jamaan hivi viumbe hapana aisee ni kuishi nao kwa akili tuNa kwa nini umuonyeshe mchepuko wako unapoishi,ni dharau kubwa mno!!! Michepuko mingine sii ya kuiamini kabisaa
Cha Mlevi huliwa na MGEMA!Michepuko mingine akili zao wanazijua wenyewe!!
Bila shaka Tabora Moja hiiMwanaume wa wapi vileee[emoji124] [emoji124] [emoji124] ndo anaeweza kusimulia hivyo