Mickih Tutu
Member
- Mar 8, 2014
- 26
- 6
Nasumbuliwa na mba mwilini hasa kifuani na mgongoni kwa muda mrefu sasa. Hua nikitumia dawa napona lkn baada ya miezi kadhaa wanaonekana tena. Naomba ushauri na tiba.
Ukiwa na Shida yoyote ileNasumbuliwa na mba mwilini hasa kifuani na mgongoni kwa muda mrefu sasa. Hua nikitumia dawa napona lkn baada ya miezi kadhaa wanaonekana tena. Naomba ushauri na tiba.