Nenda hospitalHabari Wana JF natumaini muwazima
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32 nasumbukiwa na maumivu ya kiuno sana mpaka yanapelekea nakosa hisia kwa shemeji naombeni dawa zakunisaidia kwani,
CHANZO ni mgandamizo uliosababishwa na kubeba vitu vizito
Asanteni sana
Asant mazoezi nimefanya sana lakin maumivu yanapungua tuuKama hukupata ajali fanya mazoezi ya sit ups hilo tatizo litaisha
Endelea kufanya utapona hiyo ndio dawa yake nayojua mimi.Asant mazoezi nimefanya sana lakin maumivu yanapungua tuu
BarikiwaSeveral yoga poses can relieve waist pain by stretching, strengthening the muscles in the lower back, core and hips. Some effective poses include cat-cow, downward facing dog, bridge and child's pose.
View attachment 3331872
View attachment 3331874
View attachment 3331875
Pole kwa tatizo ulilonalo.Habari Wana JF natumaini muwazima
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32 nasumbukiwa na maumivu ya kiuno sana mpaka yanapelekea nakosa hisia kwa shemeji naombeni dawa zakunisaidia kwani,
CHANZO ni mgandamizo uliosababishwa na kubeba vitu vizito
Asanteni sana
AsantePole kwa tatizo ulilonalo.
Kwa kuwa chanzo cha tatizo unakijua, anza kwa kuacha kubeba vitu vizito.
Pili, kwa muda ambao hulazimiki kukaa, lala chali sehemu ngumu tambarare kuondoa mgandamizo kwenye disc za pingili za mgongo zilizoumia ili zipate muda wa ku-recover angalau kwa uchache.
Tatu, kula vyakula vyenye vitamin B au nunua vitamin B Complex ambayo itachochea utengenezwaji wa chembe hai mpya kwa wingi, chache zitakuwa hizo za sehemu iliyoumia. Muhimu, ule mlo kamili(Balanced diet) ili upate virutubisho vingine vinavyohitajika mwilini, bila kusahau kunywa maji mengi.
Mwisho, ni kufanya mazoezi ya kuimarisha misuli ya mgongo na kuzuia oesteophytes kuota kwenye pingili za mgongo.
Tatizo likizidi, nenda hospital.
Tumia mti unaitwa mtambaa ulizia kariakoo kuleHabari Wana JF natumaini muwazima
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32 nasumbukiwa na maumivu ya kiuno sana mpaka yanapelekea nakosa hisia kwa shemeji naombeni dawa zakunisaidia kwani,
CHANZO ni mgandamizo uliosababishwa na kubeba vitu vizito
Asanteni sana
Habari Wana JF natumaini muwazima
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32 nasumbukiwa na maumivu ya kiuno sana mpaka yanapelekea nakosa hisia kwa shemeji naombeni dawa zakunisaidia kwani,
CHANZO ni mgandamizo uliosababishwa na kubeba vitu vizito
Asanteni sana
Nenda hospital kitengo cha mifupa watakufanyia vipimo( X RAY or MRI). Vipimo vitaamua ufanye physiotherapy au surgeryHabari Wana JF natumaini muwazima