Mwanangu ameshasumbuliwa na mafua sana tokea azaliwe leo ni mwezi na wiki 1 ameshatumia haya madawa yote bila mafanikio ngoja nijaribu chapa simba kuitafuta alafu nitalejesha majibu maana hadi na comment uck huu cjalala mtoto anasumbua tu dawa nilizo tumia awali ni hizi