Penye ulinzi ndio penye uhalifu, ukiona sheria ujue kuna makosa
Hizi ndio dawa za wezi
1,acha kuwa na mazoea na watu unapoishi yaan usiwe na tabia za kuletaleta watu hom kwako mana anaekuibia hatoki mbali
2,anza kupiga Mkwara mfano sijaona bado wa kuiba nyumba hiyi
3,tengeneza wezi feki na ujifanye wamenasa hom kwako wakiwa wameiba na hawawezi kutoka kama wale waganga waigi zaji
4,kuwa huru usipende kujihami sana kana kwamba watu wakajua una miliki mali mingi hata kama una miliki jifanye huna umuhimu nazo