Dawa ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,756
Reaction score
2,309
Habari wapendwa...!

Hii ni kwa utafiti wangu tu nilioufanya mwenyewe na hata mimi huwa ni dawa kwangu.

Nazungumzia usafi wa wote wawili hasa mwanamke wakati wa game, inapendeza sana kila baada ya round mnaoga na pia mwanamke avae Chupi yake nzuri na safi isiwe iko oversize kuna wadada wanavaa chupi/skin oversize zimepanuka viuno ukiiona tu unachoka afu ina matobo. Mnaboa sana!



Huwa napata hamu na morali upya nikimuona mtoto wa kike amevaa pichu afu ukute anamzigo mashallaah! Hata kama ni kipotable tu kama ni night dres kawe keupe afu kalaiini kafupi flani tumichilizi nyuma ya goti tunatia hamasa upya, Pafyum nzuuri kwa mbaali hata akiondoka inabaki geto hata siku mbili.

Mimi huwa nakosa hamu kabisa nikimaliza geme mwenzangu anaenda kunawa tu kunako afu anabaki na uvundo wa Shahaw....! Mbaya zaidi havai hata Pichu anabaki tu uchi papuchi inazagaa tu ukigusa tu kidogo hii hapa, noo! Huwa nakosa hamu kabisa ya kuendelea na mpambano.


Hivyo zingatieni usafi wa aina zote sio kulalamika tu eti ooh jamaa anakibamia akipiga kimoja tu hakisimami tena wakati hunivutii,

"NI MAWAZO TU JAMANI"
 
ko mkienda round tisa mnaoga mara 9...........

imagine bafu ni mita kadhaa toka chumba unachoishi kila saa

na ndoo ya maji kwenda bafuni kuoga

Tisa zote we unaweza hiyo sio starehe bana!
 

Haya yote yana mlengwa vp umemfahamisha lakini? maana kwa kupitia jukwaa hili message inaweza isimfikie kabisa bado akaendelea kuvaa za kutoboka
 
Hapa chumba ni self bila shaka....
 
..ha ha ha... Nimeishia kucheka tu! Hivi bado wadada wanavaa pichu zenye matobo? Wakati vipo vyupi vya buku, lols
 
Haya yote yana mlengwa vp umemfahamisha lakini? maana kwa kupitia jukwaa hili message inaweza isimfikie kabisa bado akaendelea kuvaa za kutoboka

Hii tamu sana mkuu,hongera kwa hii thread,kilichobaki walengwa wazingatie na kufanyia kazi hayo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…