Pole,
Si rahisi kupata huduma kwa picha hii.
Bado kuna mambo mengi mtoa huduma atahitaji kujua.
1: kina muda gani
2: kuna maumivu
3: kukishika kujua ugumu au ulaini wake
4: kuangalia kama kuna mishipa ya damu mikubwa ndani yake.
5: kimejishikiza au kinatembea free
Nk.
Hivyo, fika hospitali kwa kukusanya taarifa, ukaguzi, vipimo na tiba sahihi.