natibu jino dawa ni ya miti shamba unasukutua. Asubuhi wakati wa kupiga mswaki inakuwa maji ya kusukutua unarudia usiku unapotaka kulala. Unatumia cku 7 tu. Bei elf 10 lita 4 ni pm.
Tunashukuru ila tungependa kujua dozi ni Lita ngapi au sh ngapi hadi kupona. Na je inachukua siku ngapi kuponya mtu mwenye matatizo ya meno? Je ni ya kuponya tu au yaweza tumika kama kinga n.k. Toa maelezo yanayojitosheleza.