Tumia dawa moja inaitwa MaraMol. Hii dawa inaweza kukusaidia kuondoa maumivu kwa muda mlefu sana.
Matumizi: Iwapo jino limetoboka chukua kidonge kimoja kata kipande kidogo weka kwenyetundu kilichobaki meza kawaida kisha kaa kwamuda utaona maumivu yanapungua au kuisha kabisa.
Matokeo: Unaweza usipate tena maumivu na hilo jino likawa linapukutika kidogokidogo mpaka likaisha kabisa
Tahadhari: Dawa ya jino ni kung'oa kwaiyo ni vyema ukaenda Hospital ukaling'oa, ili usijepata shida badae.