Nikushauri uende hospitali. Unachotuonesha ni madhara ya ugonjwa ila chanzo chake hospitali watakisemea zaidi. Ni hatari kushauriwa tiba humu na watu ambao huwezi kuthibitisha ni madaktari. Ila ngoja waje wengine kukushauri ingawa hujasema unataka dawa za kitaalam au zile zetu za jadi!!
Nakushauri uende/aende hospitali. Sidhani kama ni tatizo la kutisha. Huko likishindikana kutibika ndio unaweza leta mrejesho members wakusaidie mawazo mbadala.