Aliyekwambia mwenye H.I.V haoi na kuwa na familia ni nani?
Hizi habari siziamini hata kidogo labda nimuone mtu ninayemjua tena nithibitishe kuwa laikuwa nao ndio nitawaamini hao maaskofu wenu.
Wengi wanajifanya wema na watu wa Mungu kwenye macho ya watu ila wakiwa mbali na jamii wao ndio wazinzi na wao ndio wadhambi zaidi yetu.