Dawa nzuri ya U.t.i ni ipi

Chronixx1

Member
Jul 23, 2017
57
81
Nasumbuliwa na kiuno kinakua kinakaza ata nikikaa nikija kuamka nikianza kutmbea naskia maumivu ! nikaenda kupima nika ambiwa nina uti ya 25 ndo first time kuugua uti nimepewa dawa ila naona akuna afadhali ya kupona kiuno kinakaza vile vile ! msaada wenu jaman mwenye kujua dawa nzur anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…