Davis Mosha: Nitaifuta CHADEMA na masalia yake Moshi Mjini

Tatzo anafkiri wachagga wenzake malimbukeni. Niijuavyo Moshi mjini (my home town) huyu jamaa hatofanikiwa. Trust me. Labda bao la mkono.

Jamaa ana influence ndio, but wit CCM. #BigNO . Y do u spend soo much money ili upate a seat bungeni ?? Hzo hela utarudisha vp ?? Nijuavyo mm hakuna mtu anapenda kufanya biashara ya hasara.
 
mosha

ushindi wako; ndes pesa wamezila pesa zake zimeisha kakimbia nduki alidhani siasa mchezo.

Biashara zake zimefifia ; hotel yake k/koo utadhani pagara


;
kaja mmiliki wa benki ya wachaga akiba commercial bank;




najua kura zote zake; moshi kinachoongea ni pesa; na solution ya pesa mosha
 

Muulize alivyogombania udiwani alikuwa ana pesa endelea kujiongopea huu ndio mwisho wake hamuulize mama minde alikuwa anakubalika na akakosa mbunge wa moshi anasubiliwa kuapishwa naye ni jaffari
 
Bora angesema kingine. Kuondoa CDM?Hata amwage hivyo vibilioni vyake hawezi hata chembe. Wenye pesa yao kama Mengi wapole. Yeye anajitia uendawzimu mchana
 
Devis tofautisha watu wamikoa ya kazkazini na huko pwani. Jiongeze bro. Kilmanjro watu wamezoea hela na wanajua kuzitafuta
 
Wachaga wakipenda kitu huwezi kuwabadilisha hata kwa lolote,chadema ndo chama chao hata uwaambie kitu wao wataipigia chadema,anapoteza muda na pesa zake huyo mosha,
 
Alipiga chakachuzi gani pale akamsginda Boisafi?
Au aliwahonga wajumbe[/QUO. Haha haa aseme alipataje wa kumpigia kura wakati wengine SIO mwanachama wa ccm!ni hivi mbinu zake hazitamsaidia Oct 25
 
Kama Think tank yake ni Lemutuz unategemea nini...?? Anasumbua pesa zake hapati chochote huyo

Yaani atapigwa bao amesimama hata amini.

Yaani ye atoke Dar aje kuchukua ubunge moshi mjini. Simbilisi yeye..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…