meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
taarifa kupitia gazeti moja zinasema mh.kafulila azuiwa kuhutubia huko kasulu pamoja na kuwa na kibali cha kuhutubia kupitia chama cha APPT maendeleo.
je atasaidia chama hiki kupata nguvu au atakuwa kajimaliza kisiasa?je APPT maendeleo kitakuwa chama kimbilio kwa wale wote walio kwenye msururu wa kufukuzwa kwenye vyama vyao?
Gaazeti moja! Halina jina. Litaje, isijekuwa umesoma kipeperushi.
Mkuu hata mimi nimesikia hivyo kupitia Watanzania Tuongee Asubuhi. Ilikuwa ahutubie huko Kasulu. Sijui kwa nini asingehutubia huko Uvinza. Huenda.kweli akakimbilia kwa Mziray. Huenda chama hicho nacho kikapata nguvu taratibumkuu nimelisikia kupitia kipindi cha magazeti R.F.A niko mbioni kutafuta ni gazeti lipi specifically.sijakuzuia kuendelea kutafuta ukweli.
Kumbuka kafulila aliupata ubunge kwa yeye binafsi kuwa icon bila msaada wa mbatia.hivyo mpaka sasa yeye bado ni icon hivyo wapiga kura wanauwezo kumchagua kama yeye na sio kama chama.atakuwa kaisha kama kaenda huko kama hana shughuli nyingine lazima afulie anashindwa nini kumuomba msamaha bosi wake mbatia yaani huyu dogo mjinga sana
Mkuu hata mimi nimesikia hivyo kupitia Watanzania Tuongee Asubuhi. Ilikuwa ahutubie huko Kasulu. Sijui kwa nini asingehutubia huko Uvinza. Huenda.kweli akakimbilia kwa Mziray. Huenda chama hicho nacho kikapata nguvu taratibu
Kijana mbona anahangaika sana. Mimi naona angetumia busara kutumia katiba ya chama chake na ajirudi .
Hivi kile chama cha Peter Kuga Mziray ni APPT Maendeleo au?
Naona kama hiyo "A" hapo mwanzo haipo!!!
Uwezi jua la moyon mwake, hata alipoodoka cdm walisema hivyo. Anaakili timamu na anajua anafanya nn. Hizo ndio siasa za tz! Just wait and see
Huo ni uongo. James mbatia alitoa gari lake aina ya Ford likakaa kigoma miaka miwili kuhamasisha na kujenga chama. Lilikuwalikifanya kazi kigoma, kasulu na kibondo. Mafuta namshara wa dereva alilipa yeye mbatia. Hivyo kafulila amesaidiwa sana na mbatia, nakumbuka kipindi hicho kafulila alikuwa anavaa viatu vya mchina. TAIMA vimelika soli hadi mashino ya kwenye soli yanaonekana.Kumbuka kafulila aliupata ubunge kwa yeye binafsi kuwa icon bila msaada wa mbatia.hivyo mpaka sasa yeye bado ni icon hivyo wapiga kura wanauwezo kumchagua kama yeye na sio kama chama.