Tatizo jamaa kakimbia Sasa ndo maana watu hawakupi msaada kuwa active mkuu hauko serious au umepata majibu
Kwa kuwa haujatoa maelezo niliyoomba fuata hi concept
Kwa upande wa wanafunzi
Lazima uwe na table yenye details zao zikiwa na number zao za usajili then
Lazima uwe na page yenye form kwa ajili ya kuimgiza data kwenye database table husika form inaweza kuwa na input Kama student name,number na password hapa nazungumzia page ya registration
Then hizo input field zipe name na type
Usiweke value hapo
Then
Tengeneza php script kwenye page nyingine ipe jina la kueleweka then include kwenye page yenye form zako juu kabisa kabla ya code za html itakuwa poa
Mwisho andika code za php zitakazo chukua data za mwanafunzi anaye register na kuziweka kwenye database table ya student
Ukimaliza
Tengeneza Tena page ya login weka form yenye input mbili yaan number ya student na password mwisho tumia button au input nyingine ya tatu weka type na name
Then
Tengeneza php script yenye kufanya comparison ya data zilizoko kwsnye database table ya student kwa details zolozopo kwenye login page
Ikiwa ataingiza zikafanana basi itaruhusu kuingia kwenye page mpya
Hapa utaweka session then header() kwa ajili ya kumredirect kwenye page ingine nadhani nimesolve tatizo lako
Kwasababu haukuja na code snippet na maelekezo nilokuomba komaa na code sasa