Naomba kuuliza utumishi wanaweza kukuplace kama ulikuwa data base Katika nafasi nyingine inayoendana na kada yako, je ishawahi mtokea mtu na huchukua muda gani?? Utajuaje?
Naomba kuuliza utumishi wanaweza kukuplace kama ulikuwa data base Katika nafasi nyingine inayoendana na kada yako, je ishawahi mtokea mtu na huchukua muda gani?? Utajuaje?
Mimi nauliza je mchakato wa kuingia kwenye data base ukoje maana majibu ya oral interview huwa hayatoki na je utajuaje kuwa umeingia kwenye data base na ilikuwa majibu hayatoki Bali watu hupangiwa kazi moja Kwa moja placement bila kutoa takwimu za matokeo ya usaili
Sio inayoendana nayo bhana, utapangiwa kazi inayofanana kabisa job title ya ile uliyoomba mwanzo ukaishia Oral na ulifaulu ila kutokana na idadi iliyokuwa inatakiwa ukazidiwa na waliofaulu zaidi Oral..