Data usage warning!

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
simu yangu inaniletea taarifa zisokwisha kwenye screen inasomeka "data usage warning" nikiifungua inanipeleka kwenye menu zenye option mbili... "data usage sycle" na "set data limit" sieliwi hii taarifa inataka nini au inamaanisha nini
 
Hapo hapo ulipofungua...uncheck hiyo checkbox ya 'Set mobile data limit' halafu kuna graph flani ya usage hapo ambayo ina mstari horizontal kama threshold flani.

Utumiaji wako wa data ukizidi level ya huo mstari (unakuwa umeandikwa bandwidth kama 2GB labda) ndio unawekewa hiyo warning. Raise the limit kwa kuupandisha huo mstari juu na hivyo kuondoa warning.
 

Du! We ni mtaaluma,nimefanya ulivyoelekeza na nimefanikiwa,asante
 

Asante sana
 
Wale wa MB 8 Lazima watoe macho...Na Mie nimepata Hiyo alert nishaiondoa.
 
Mara kibao imetokea hii kitu kwenye simu yangu ila sikujua cha kufanya.
Sasa nimeelimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…