Tafuta clip ya Makonda umsikilize, huku vitu ninatatuliwa kwa masaa sio kwa siku au miezi kama Kenya.Tatizo mnakurupuka sana hamjui mn'gate wapi kwanza.
Well saidHayakuhusu ya Tanzania!!!
Hayakuhusu ya Tanzania!!!
Tafuta clip ya Makonda umsikilize, huku vitu ninatatuliwa kwa masaa sio kwa siku au miezi kama Kenya.
Well said
Wapambane na kubeba wadhungu na kula mavi ya wachina walahi View attachment 894328View attachment 894329
Hata wewe umepachika link ya mitandaoni ambayo huna uhakika na kila kilichosemwa. Hakuna mwananchi wa kipato cha chini anayesikilizwa na serikali yake kwenye ukanda huu kama mwananchi wa Tanzania. Kenya mnapigana changa la macho kusema eti tuko pamoja, pamoja na nani. Msikikize Makonda halafu rudi hapa baada ya wiki mbili utupe mrejesho.Kero hazitatuliwi kwa clips za mitandao, Dar kuna shida sana ya usafiri Mabasi ya mwendo kasi ni shida! - JamiiForums
Hata wewe umepachika link ya mitandaoni ambayo huna uhakika na kila kilichosemwa. Hakuna mwananchi wa kipato cha chini anayesikilizwa na serikali yake kwenye ukanda huu kama mwananchi wa Tanzania. Kenya mnapigana changa la macho kusema eti tuko pamoja, pamoja na nani. Msikikize Makonda halafu rudi hapa baada ya wiki mbili utupe mrejesho.
Najaribu kifikiria, hivi wewe ni Mkikuyu au Mkalejini.
Najaribu kifikiria, hivi wewe ni Mkikuyu au Mkalejini.
Mtanzania aklili timamu
Najaribu kifikiria, hivi wewe ni Mkikuyu au Mkalejini.
Wale wanaomweka magu majina hapo mara mingi ni mungiki (msapere). Wamemtukana raila uko kenya hadi wakamnunua handshake na pesa billioni kadhaa.
Wakalenjini mara mingi si watu wa kelele. wako shuguli zao uko kwa mashamba ya mahindi na ngano, huku vijana wao wakipiga exercise za marathon na cross country.
..... na wasukuma ndio hao hapo juu kwenye picha, kuna mmoja aliyevalia shati la white hapo, amefanya frog jump kutoka chini hadi juu ya dirisha la basi. Labda tutamuona akiwakilisha Tz kwenye Olympics. [emoji38]Hata mimi najuwa kalenjini ndio wanaitangaza Kenya duniani kwa talent yao ya michezo, hawa mungiki Kikuyu kazi kubwa wanafanya ni wizi wa hapa na pale.
Haha, wewe ndio huijuwi Tanzania kabisaaaaa. Hapo ni Dar kwa Wazaramo, wasukuma wako Mwanza...... na wasukuma ndio hao hapo juu kwenye picha, kuna mmoja aliyevalia shati la white hapo, amefanya frog jump kutoka chini hadi juu ya dirisha la basi. Labda tutamuona akiwakilisha Tz kwenye Olympics. [emoji38]