G gambalanyoka Member Joined Mar 13, 2011 Posts 63 Reaction score 7 Nov 21, 2011 #1 Jamani nauliza ule mtandao wa darchat uliokuwa unatoa nafasi ya kudetiana umekwenda wapi?.Kila nikibofya haupatikani,nani anaelewa anipashe nimeumiss sana
Jamani nauliza ule mtandao wa darchat uliokuwa unatoa nafasi ya kudetiana umekwenda wapi?.Kila nikibofya haupatikani,nani anaelewa anipashe nimeumiss sana
aye JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 2,102 Reaction score 712 Nov 21, 2011 #2 ingia marafiki.com sema haina nguvu kama zamani facebook imeimaliza kabisa