Huyo ni kijana mdogo tu..ametimiza miaka 16 juzi.!Mnaosema After school bash ya watoto mbona hata le mutuz huwa anenda!?
teh teh teh.........Huyo ni kijana mdogo tu..ametimiza miaka 16 juzi.!
Huyo ni kijana mdogo tu..ametimiza miaka 16 juzi.!
Clouds wana mambo ya ajabu nao chah ndo maana huwanyonya wasanii.But clouds walibidi watumie busara.. Kwann wenzao wana awards wameweka shoo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mnaosema After school bash ya watoto mbona hata le mutuz huwa anenda!?
Huyo ni kijana mdogo tu..ametimiza miaka 16 juzi.!
Sijaona bango linaloeleza muda wa shoo.Kwan mda mmoja?
Inaanza saa 4 kwa vitu vingine,lakini shoo vinafanyika usiku.After sculbash inaanza Saa 4 Asubuh........So ana mda mzuri wa kupafom huku na huku
Mkuu kama una tangazo la muda hebu tuwekee,maana mimi nataka nijue Darasa nitamkuta wapi.After scul bash inaisha saa mmoja na jinsi clouds wanavyoitangaza ni mahususi kwa wanafunzi waliofunga shule ila eatv awards naamini ni mambo ya kikubwa hadi kuchele
Lakini wanafunzi wa kwenda kwenye burudani sio wa primary,ni wale wakubwa tena kwa sasa shule zimefungwa,nisaidieni mwenye kuweza kuweka bango la muda ili nijue haswa huyu Darasa nitamkuta wapi.show hizo ni muda tofauti halafu kuna moja ya wanafunzi nyingine ya wakubwa........
Mnaosema After school bash ya watoto mbona hata le mutuz huwa anenda!?
Huyo ni kijana mdogo tu..ametimiza miaka 16 juzi.!
Ukiona msanii anapiga shoo hadi kwenye baa ujue anapoelekea sio darasana kesho anapiga show nyingine mbagala zakhem