Daraja La Mbulu: Igunga

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093

Wananchi wakivuka kwa taabu sehemu ambako daraja la bonde la Mbutu wilayani Igunga linajengwa na kuondoa kabisa tatizo hilo mwaka huu ambapo ujenzi huo unaofanywa na muungano wa makandarasi wa Tanzania unatarajiwa kukamilika. Mpaka sasa asilimia 45 ya ujenzi wa daraja hili lenye thamani ya sh bilioni 11.28 umekamilika na inakadiriwa kuwa litakuwa tayari ifikapo Novemba mwaka huu.
 
Hili ndilo lililosababisha ubunge wa Dr Kafumu utenguliwe?
 
Hili ndilo lililosababisha ubunge wa Dr Kafumu utenguliwe?
Kuna wasiopenda maendeleo na wasio na huruma, hawakupenda hao wananchi wasaidiwe na Dr Kafumu.
Na baada ya kumwondoa Dr Kafumu wameingia mitini maana malengo yao yalitimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…