Dar, tupeane update za mvua ya leo

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
8,288
Reaction score
18,579
Wakuu huu Uzi utumike kutoa update kuhusu mvua ambayo imekata sasa hivi (kwa huku niliko) na kwa jinsi ilivyonyesha inawezekana imesababisha uharibifu kadhaa kwa hiyo tupeane taarifa na tahadhari.
 
Huku inanyesha na tanesco wameshafanya yao
 
Hapa Kimara madereva wa Noah wanafanya ulanguzi wa nauli tangu mvua ilipoanza hadi muda huu.Nauli imepaa maradufu toka 500 hadi 1000.
 
Wakuu huu Uzi utumike kutoa update kuhusu mvua ambayo imekata sasa hivi (kwa huku niliko) na kwa jinsi ilivyonyesha inawezekana imesababisha uharibifu kadhaa kwa hiyo tupeane taarifa na tahadhari.
Umekurupuka, bila picha hakuna mjadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…