Dar: Magari 56 ya Wanafunzi yafungiwa!

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,957
Reaction score
63,767
Oparesheni ya ukaguzi wa magari ya wanafunzi yaanza Dar. Magari 56 yamefungiwa.
 
Serikali ya matukio halafu ndio inawapa wananchi wake matumaini kuwa itakuwa ya viwanda?!!
 
Kwanza nishukuru hatua zilizochukuliwa na jeshi la polisi! Huo ndio mwanzo wa uwajibikaji napendekeza pia ukaguzi ushiishie kwenye magari pia shule zingekugaliwa miondombinu na ubora wa walimu,maslahi ya walimu na vitendea kazi ikiwa ni hatua ya kujenga uwezo wa taasisi kuwa proactive instinstitutions than reactive! Hii itatupa picture pia ya kufanya forecasting ya kutosha kudeal na mambo mbalimbali ambayo kimsingi ni manufaa ya umma!
 
Endeleeni mengi ni vmeo hususan pembezon mwa JJ shule zlzo jificha ndani
 
hivi magari ya wanafunzi ni yepi hayo wajameni?
 
So we have to loose more than 30+ souls of children for us to remember our responsibilities
 
Huenda tulalamike lakini heri kinga kuliko tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…