Hawa ni chotara wa kizungu na kiafrika wenye kutaga mayai yenye kiini cha Kuku sawa na wale wa kienyeji wakati broilers ni purely wa kizungu, maalum kwa ajili ya nyama na hawatagi mayai.
Tofauti nyingine ni kwamba hawa chotara wana umri wa karibu mwaka wakati broilers ni fastafasta breed wanaotumia wiki 8 kufikia uzee.