Nimeshajua tunachangia kisame, kishamba na kijamaa sana, laiti tungeju maana ya basi kuitwa EXPRESS...........walau ingetutoa tongotongo
nawashauri mfike Livingstone mpande basi za Intercape au Trans-lux ...kuna logic kwa lux buses zote kuwatangazia key stoppage wakati mnaondoka na hata lux buses za Tz aghalabu hufanya hivyo na nimeshuhudia mara nyingi tu